Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions
Vifungashio vya Salfeti

Vifungashio Vyenye Nembo Yako

Mifuko ya salfeti kwa mchele, unga, sukari na vyakula vya mifugo — imara, rangi zinazodumu, bei ya jumla.

500+ oda zilizofikishwa
+255 683 557 564
Box za Gram 80 mpaka 250 zinapatikana ofisini kwetu

Box za Glucose ni Muhimu sana zikawa hivi

Tunahakikisha unapata kilicho bora zaidi kwa wewe kutuchagua sisi tuprint box ndogo za kuanzia gram 80 mpaka gram 250. Tunatuma mikoani kila siku tupigie na toa oda leo.

500+ oda zilizofikishwa
+255 683 557 564
Mifuko migumu ya "Gift bags" tunauza na kuweka nembo yako.

Hii ni Mifuko maalum kwa wateja wako wa "VIP"

Mifuko hii ni migumu na imara inatengenezwa maalum kwa wateja wako maalum yani "VIP" mifuko hii tunaweka nembo yako na inapatikana ofisni kwetu. . . BEI ZA MIFUKO HII NI HII HAPA BEI: kuanzia 3000 A4 size. 1. A4 NI 3000TSHS KILA MOJA TUNAANZIA PC36 2. A3 NI 3800TSHS KILA MOJA TUNAANZIA PC36 BEI NI MFUKO PAMOJA NA PRINTING PRINTING NI UPANDE MMOJA NA RANGI NI MOJA. Tupigie leo 0683557564 na 0757618176 tunapatikana Kimara Korogwe stand Mikoani tunatuma kila siku

500+ oda zilizofikishwa
+255 683 557 564
Tunaprint Tishirt Bora kwa ajili ya ofisi yako

TISHIRT ZA FORM6 ZA OFISINI HIZI TOLEO JIPYA 2026

Pata #tishirt bora za #form6 za #colar kwa ajili ya ofisini kwako. Tunaweza kuweka logo nembo yako kwa juu . Tunapatikana kimara stand dar es salaam. TUPIGIE 0683557564 AU 0757618176

500+ oda zilizofikishwa
+255 683 557 564
BOX ZA PIZZA SMALL, MEDIUM NA LARGE ZINAPATIKANA

Box za Pizza Kuanzia 1,300/=

Inch 8 hadi 13 yani small mpaka large, tunaanzia pcs 50. Zinakuwa tayari ndani ya siku 4 - 5 baada ya malipo. #BeizaPizzaBox 2026 #Pizzaboxtanzania #boxforpizza2026DARESSALAAM ......................................................... BEI ZA BOX ZA PIZZA PLAIN (BILA PRINTING) 2026 small 1,300TSHS Medium 1,500TSHS Large 1,700TSHS ..... stock ipo ya kutoshaa TUNAPATIKANA KIMARA KOROGWE STAND MIKOA YOTE TUNATUMA KILA SIKU TUPIGIE LEO 0683557564 AU 0717367693

500+ oda zilizofikishwa
+255 683 557 564
Tunauza na kuprint mifuko ya vyakula vya kuku

Mifuko ya Salfeti ya kuweka vyakula vya kuku inapatikana kwetu

Mifuko hii ni kuanzia 25kg mpaka 50kg . kama kuna vyakula aina mbali mbali tunaweka kwenye mfuko kwa ubora mkubwa. mifuko tunauza kuanzia pc200 kila mmoja ni 980tshs tuu ........ Tunapatikana Kimara korogwe stand mikoani tunatuma kila siku. tupigie leo 0757618176 na 0683557564 #Mifukoyakuwekavyakulavyakukuipo #virobavyakuwekavyakulavyakuku #virobavyakuwekavyakulavyamifugo

500+ oda zilizofikishwa
+255 683 557 564
Delivery Mikoa Yote Tanzania nzima na Zanzibar
Ubora wa Uchapishaji Rangi imara, kazi ya kudumu
Bei ya Jumla Punguzo kwa oda kubwa
Msaada wa Haraka Tupigie au WhatsApp

Bidhaa Zinazoongoza

Tazama zote
Ofa ya jumla

Delivery bure Dar kwa oda kuanzia 300,000/=

Tunatuma mikoa yote na Zanzibar. Oda za jumla zinapata bei nafuu zaidi pamoja na kuponi za kila mwezi.

30+

Aina za bidhaa

500+

Oda zilizofikishwa

26

Mikoa tunayofika

4-5

Siku za kazi

Bidhaa Tulizoziongeza

Tazama zote

Hatua za Oda

1

Tuma Design Yako

Tutumie logo au picha kwa WhatsApp au email. Huna design? Tunakutengenezea.

2

Pata Quotation

Tunakupa bei kamili kulingana na idadi, size na aina ya material.

3

Thibitisha na Lipa

Unaidhinisha sample, kisha unafanya malipo kuanza kazi.

4

Pokea Kazi Yako

Tunakukabidhi Dar au tunatuma mkoa wowote na Zanzibar.

Wateja Wetu Wanasema

Wateja Wetu Wanasema

"Watusmart walituprintia box za chaki zenye nembo yetu kwa ubora mkubwa na kwa wakati."
D Dolfin Chalk Watengenezaji wa chaki
"Carton Box toka watusmart ni imara na Bora sana.. Karibuni watu wengine"
B Bloom Cleaners Anauza Sabuni za Kufanyia usafi
"Tumefurahia maboksi yetu — imara, safi na yanaonyesha brand yetu vizuri."
V Vikapu Bomba Biashara ya vikapu
"Mifuko yetu ya salfeti ina nembo yetu kabisa; wateja wanatutambua sokoni haraka."
V Victoria Super Sembe Wazalishaji wa sembe
"Hata tukiwa Zanzibar, oda zetu zinafika salama na kwa wakati."
K King Animal Feeds Vyakula vya kuku - Zanzibar
"Kazi ya printing ni safi sana — rangi hazififii hata mfuko ukikaa muda mrefu."
M Mtujina Brand ya mchele